kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
MAMA ANAUPIGA MWINGI MACCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maafa yanayoweza tokea au umesema tu changamoto ya kawaidaNi changamoto ya kawaida
Sio African sema tz misri Morocco huwez kuta huu ujingaKila jambo Afrika ni kubahatisha,japo nahisi umeme umepungua nguvu
Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
Tatizo tunalea ujinga badala ya kufuza anaamishwaMeneja wa huo uwanja kazi imemshinda
Yupo uwanjani na mashavu yake anatoa macho tu hajui hata Cha kufanya.Majaliwa kazi yake kuuza tembo kule loliondo umeme umewashinda
Meneja wa uwanja sio mfanyakazi wa tanesco broSijui meneja wa uwanja wa Taifa huwa anakazi gani km kila siku kunakuwa na mapungufu.Mara vyoo vichafu,mara pitch kuharibika,mara viti vimeng'olewa, leo baadhi ya taa zimegoma kuwaka. Km hatuwezi kuuendesha uwanja basi tuwarudishe wachina wauendeshe kuliko kutia aibu namna hii. Huge disappointment!
Meneja amechaguliwa juzi tuu hana hata mwezi 😂😂😂😂Meneja wa huo uwanja kazi imemshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna lipaka nimeliona uwanjani pia a.k.a prime minister wa ile nchi[emoji16][emoji16][emoji16]
Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa ya Tanzania na Uganda!
Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!
Kila mtu aliyewahi kulalMikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya!
Mfano
Makonda!