Sijui meneja wa uwanja wa Taifa huwa anakazi gani km kila siku kunakuwa na mapungufu.Mara vyoo vichafu, mara pitch kuharibika, mara viti vimeng'olewa, leo baadhi ya taa zimegoma kuwaka. Kama hatuwezi kuuendesha uwanja basi tuwarudishe wachina wauendeshe kuliko kutia aibu namna hii. Huge disappointment!