Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

Walaa mara nyingi katika jamii tatizo hugundulikaa kwenye matukioo makubwa
 
Ingekuwa nchi nyingine kuna Watu wangewajibika...
 
Nchi ya kipumbavu Sana mimi nilikuwa nadhani ni issue za kiusalama kumbe ni utoto huu Basi tuna safari ndefu Sana
 
Meneja wa uwanja sio mfanyakazi wa tanesco bro
 
Jiandaeni pia kulala njia SGR ikianza. TANESCO NA DAWASA ni nuksi ya nchini.
 
Hivi yeriko nyerere ana kampuni ya mafundi umeme si wampe kazi sio kwa hii aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…