Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

Bwana kipara ameshasuka mchongo wake anasubiri zake kulamba mabilioni kadhaa! Boss wake wala hana nongwa wala hata hajui chochote.
 
Watanzania tuache tumaneno,,,hata kwako hitilafu inaweza tokea .kila kitu ni kulalama tuu ,wengine mnalalamika wakati ndoa zimewashinda kuendesha
Watanzania wanapenda kulalamika sana, wao wenyewe wanaugua, kwanini wasikate kuugua
 
Huo ni uzembe wa kiwango cha juu lakini wahusika watafumbiwa macho kwakuwa ni mazoea Yao kucheza na sharubu za watawala watakuja na mifano kibao ya huko nyuma ilishatokea kama hivyo na blah blah za kijuha, Mechi kubwa kama hiyo unatokea uzembe huo shame on us yaani hawana hata standby generator la kutoonesha effect ya katizo la umeme kwani hizo pesa wanapelekea wapi na hao supplier wa umeme wameshindwa kujipanga kwa switching za trial pindi umeme umekatika hata kuhamisha line.

Tutegemee hata kesho vice wa USA likamtokea kama Hilo la uwanja wa Taifa na ikawa story za kawaida tu. Tuipende nchi yetu Kwa weledi.
 
kilichotokea leo ni aibu kwa taifa. tukome kujikweza
 
Hawana hata jenereta uwanja mkubwa hivi?! Hii aibu sana.
 
Kuna mtu alicomment huko juu eti waziri mkuu alibaki ametumbua mimacho hajui ni cha kufanya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilibidi nicheke sana baada ya kuona hio comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…