Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Kuna shida sana ya watu layman kujadili vitu technicalHuko ni nyumbani mangi,au huoni tofauti?[emoji849]
Sasa niambie imekuaje taa zimewaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida sana ya watu layman kujadili vitu technicalHuko ni nyumbani mangi,au huoni tofauti?[emoji849]
Sa100Mbona 2017 mechi CAF ya Simba na Al masry umeme ulififia Kama leo? Rais alikuwa Nani?.
M
Watanzania wanapenda kulalamika sana, wao wenyewe wanaugua, kwanini wasikate kuuguaWatanzania tuache tumaneno,,,hata kwako hitilafu inaweza tokea .kila kitu ni kulalama tuu ,wengine mnalalamika wakati ndoa zimewashinda kuendesha
Watu wanajifanya hawajaona hii comment
Tunaimarisha grid ya taifa. [emoji23]
Hapo wala hahusiki. Kwanini ziliwaka nyingine?January Makamba anaupiga mwingi!
Ndio na mm nikakuuliza 'mnafanya uzembe na kazi za watu kwa kigezo cha kuwa na familia,yaan tushindwe kukufukuza kwa kutuharibia kazi kigezo kuilisha familia yakoJe mkinifukuza Kazi utaweza kuilisha familia yangu
Kuna mtu alicomment huko juu eti waziri mkuu alibaki ametumbua mimacho hajui ni cha kufanya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ilibidi nicheke sana baada ya kuona hio commentMchezo wa Tanzania vs Uganda umesimama sababu ikiwa ni baadhi ya Taa kuzima[emoji3064].
Kumbuka apo tuna Onyo kutoka CAF la kurekebisha pitch ya kuchezea ,Nani wa kulaumiwa..?
Ina maana uwanja hauku kaguliwa siku moja kabla..?
Je Mara ya mwisho kubadilisha Taa ilikua lini ..?
[emoji3064]HII AIBU KWA KWELI TENA MBELE YA WAZIRI MKUU...
View attachment 2569127
haha meneja wa uwanja alitimuliwa mwaka jana agosti nadhani kwahio.....Meneja wa huo uwanja kazi imemshinda
Kwa wenzetu umeme ukikatika ni jambo la kushangaza sana. Wanaweza kuja hata kutengeneza movie kuhusu tukio hilo. Ila wiki hii umeme huko kwenu umekatika mara ngapi?Watu wanajifanya hawajaona hii comment