Mechi ya Tanzania vs Sudan CHAN iko hapa

MI nafikiri tungeachana na soka tu tufanye mambo mengine ya msingi
Hawa wachezaji wangepelekwa tu kwenye mradi wa SGR wakaongeze nguvu tuanze upya na damu changa.
 
Wabongo tunahitaji kuwekeza kwenye soka kuandaa vijana, sio Hawa wanaonekana kabisa hakuna wanachofanya zaidi ya kurukaruka
Naam hakuna njia ya mkato kufika penye kilele cha mnazi uwekezaji na umakini mkubwa unatakiwa haya maandalizi ya zima moto na slogan za kuvutia kama pamoja mpaka cameroo na mengine mengi hayawezi kutufikisha popote.
 
mikia FC hiyo..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…