Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

manji atafirisika bure, pale kuna wahuni wanampiga changa la macho kuhonga media na marefawa tz ilaikifika kimataifa mafanikio 0
 
Leo tumewakosakosa hawa Yanga lakini fresh tu,si watakuja home Ghana next two weeks.

Tutawafilimba
 
Leo ilikuwa ni mpambano wa underdogs wa Confederation, na Yanga ndio wame-prove kuwa ndio the most underdog.
 
bado yanga afrika tuna nafasi ya kusonga mbele ikiwa tutashinda gemu zote...wa kimataifa tupo vizuri sana....hawa madema wameponea chupuchupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…