Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanaojiita wa kimataifa wamelazimisha draw bana...lakin sio mbayaa kelel zimezimwaMkuu FT ikoje? Tumeshinda ama? Sisi Mediama
Usisahau mwakani tumo,kiongozi.Yanga bye bye baba Jeny...
Wakimata-ifa wame-kufaLeo ilikuwa ni mpambano wa underdogs wa Confederation, na Yanga ndio wame-prove kuwa ndio the most underdog.
Ili iweje?Natamani mpira uishe!
Ha ha ha mwisho wa majigamboWapanda ndege wameshushwaaaaaaaa!!! Dare breath a word?
Afadhali. Mji upo na utulivu kama kawaida. Hamna kelele!Ili iweje?
Umeshaisha basi...
Hilo tu? Ndilo ulilokuwa ukilitaka?Afadhali. Mji upo na utulivu kama kawaida. Hamna kelele!
wa kiMATAIFA leo wameMATAFAIKA vilivyo.Wakimata-ifa wame-kufa