Mimi ndiyo maana sipendi mpira wa Tanzania. Yaani sijawahi kuona timu inayobebwa kwenye mitandao kama Yanga na ndugu zao Simba. Wao mpira wao ni kwenye magazeti tu, ukija uwanjani ziro. gazeti la BINGWA la leo lina kichwa cha habari ..."Kombinesheni Ya Ngoma, Chirwa, Mahadhi...Madeama FC Hawatoki." Kuna magazeti mengine pia yana upuuzi kibao juu ya kusifia uozo wa Yanga. Kiko wapi....Muda umefika kuacha kuzibeza hizi timu ni za kipuuzi sana na ndizo zinaoua soka letu. Mavi tupu....mechi tatu tayari hakuna cha maana walichokifanya Yanga zaidi ya kuwatia hasara wadhamini wao.