Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Hata simba ingecheza yangetokea kama haya bt asilimia kubwa ya watanzania wamejiajiri wenyewe ni mda m2 kufka uwanjan haijalish mfanyakaz au xio mfanyakaz you see!
 

Hahahaha umewagusa pabaya sana
 
To mazembe ibamize yanga goli 3 kwa moja! Tumeshindwa kuonesha uzalendo ktk mambo ya msingi kama Taifa, iweje kwa nyanga? Nawapigwe tu!
 
Mkuu uwanja umejaa tangu saa 6 na dakika kadhaa mchana.
 
Huu ndio uzalendo wa kweli Yanga kwanza!!
Simba
Azam
Mtibwa
Kagera
........
BAADAYE
 
Ama kweli mpira ni mchezo wa "shetani" !! Mtanzania anaishi na mlo mmoja kwa siku..... kaisamehe na kafuata kushangilia !!!

Ahssante gambaz!!
 
Leo naamini wana Simba wataonyeshwa jambo ambalo hawataamini machoni mwao kwa watani wao wa jadi kuishinda TP Mazembe ndani ya uwanja wa Taifa.
 
Tutavaa jezi za YANGA KWA NDANI TUKIINGIA TU TUNAVAA ZETU

😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
Omar Mateen anatafuta watu wa jinsia yako
 
Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa



Tabia hii ya kutolipa wachezaji iko huko huko zombie land

Yanga 1 TP mazembe 3
 
TUnalalamika muhindi fisadi, anatuibiaaa... lakini kawapa leo na kawapa tena kiingilio mnaandamana viuno juu...

aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…