Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
...Manji kiboko leo kawaripia kiingilio hadi mashabiki wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni zenu nyie, tumeona asilimia 10 ya wakazi wa Iceland wako France kushangilia timu yao ya taifa, je hawa hawana kazi za kufanya?
Mara ngapi tunaona mashabiki huko Ulaya wanasafiri siku 2 kwenda kuiona timu yao ikicheza UEFA, je utasema hao hawana kazi?
Watu wengine kwa sababu ya ushabiki inabidi uombe ruhusa ili akaishangilie timu yake.
Go, go Yanga, daima mbele, kurudi nyuma ni mwiko
Tunaiombea timu yetu kila la heri, baraka zote ziwe juu yao
Hivi hawa watu wote hawana kazi au huwa wanafanya kazi usiku?washabiki wa Yanga washafika uwanjani muda huu
Omar Mateen anatafuta watu wa jinsia yakoTutavaa jezi za YANGA KWA NDANI TUKIINGIA TU TUNAVAA ZETU
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Jamani tupo mbali naomba link ya kustream mechi hiyo tafadhali.Natanguliza shukrani.
kafungwa al ahly taifa itakuwa hao watwanaLeo naamini wana Simba wataonyeshwa jambo ambalo hawataamini machoni mwao kwa watani wao wa jadi kuishinda TP Mazembe ndani ya uwanja wa Taifa.
Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
Kwan mnajuana wakuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaumwa minyoo.. Nitashangilia TP Mazembe sasa ingia kwenye kumi na nane nikung'oe meno