Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
Umeanza ushabiki wa mpira lini au ndio kufuata mkumbo tu?
Mbona Halima Mdee ni shabiki wa Yanga na amezaliwa mjini kuliko wewe.
 
Kwaniaba ya watu tulio Mbali na uwanja wa taifa na Dar es Saalam kwa ujumla mechi ya Yanga na Mazembe live TBC.
 
Yaaani wakipata goli Mazembe tu japo moko Yeboyebo mmeumia Yanga 1 Mazembe 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…