Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Alikuja mtu anaimba kama bubu na wakaingilia elfu 50! (cabosnoopy) mzee wa windekwatanzania wape starehe ndio utawajua ni wa aina gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuja mtu anaimba kama bubu na wakaingilia elfu 50! (cabosnoopy) mzee wa windekwatanzania wape starehe ndio utawajua ni wa aina gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mwenye mawazo myeyuko ndo umefika mwisho wa kufikiri hapo!![emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
Umeanza ushabiki wa mpira lini au ndio kufuata mkumbo tu?Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
TFFNani awajibike na huu uhalibifu?
View attachment 360886
Hahahaah sipati picha jamaa walioweka kambi tangu alfajiri hapo uwanjani.!Yanga 2 TP 1. Sipati picha hizo shangwe zitakazoibuka hapo. Asante manji kwa kuwawezesha akina mchika kugu kuona Mechi ya kimataifa
Cheki ZBC2 NA TBCduh azam hawarushi live