Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Yaani simba aka paka, wameingizwa buree. Sisi ndio wenye mechi, wao tumewaingiza hahahahahaa idawa usinitafutie ban bana

Punguza munkari binti.....huo ndio mchezo....cha msingi msivunjwe mioyo na hizi kelele bali elekezeni nguvu zenu kwenye mechi zilizosalia....huenda lolote likatokea.....

Never say never.....
 
Jamani mie sipendi unafiki, ni hivi siwapendi YAnga kama wasivyotupenda sie SIMBA. Naomba wachapwa vigoli 3 wakae kimya tambo zao zikome. Ukweli wangu ndio huo, ni kipigo tu washike adabu yao
 
Kapigwa kimoja, baada ya MO Bejaia kupita, Al Ahly kupita, leo TP Mazembe nayo imepita, kweli Yanga haina kukaza watu wanapitaga.

Wakimataifaaaaaa!
Mkuu umewaamulia hawa ndugu zako..Kwa hiyo watu wanajipitia tu wala hawakatai😀😀😀😀😀😡😡😡
 
Kapigwa kimoja, baada ya MO Bejaia kupita, Al Ahly kupita, leo TP Mazembe nayo imepita, kweli Yanga haina kukaza watu wanapitaga.

Wakimataifaaaaaa!
Wakimataifwa hoyyyeeee. Leo muru sijui ana lakuongea kwenye media?
 
jeni muro jitahidi ufungue akaunti ya maneno NMB bank. tuko katka zama za kubana matumizi na ww jitahid uwe unabana matumizi ya maneno.
 
lengo haikuw kuonesha uwezo wa kumilik mpira ila kwa wenyej wetu yanga alitakiw ashinde ila kwa kuw ndo vile tena.......kwisha kaz
 
Msibani hakuna kiingilio, manji alijua kabisa kuwa hawatoki hivyo kupunguza machungu kwa wanae akaona waingine bureeee!!!! Hahahaha
 
Maneno yako yanaua thamani ya Tomas we mama!!!
Labda kama ni mkakati wa kichura chura snurya
 
Asanteni sana TP Mazembe kwa kutunyamazishia jiji na taifa kwa ujumla!!!
 
Sikuwepo ndo naingia muda huu toka Sayari ya Mars. Nipen matokeo ya Yanga na TP Mazembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…