Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

TP Mazembe wanasema..............................
Champions of Tanzania, Young Africans accessed for the first time to the round of the Champion’s League while they are in their 20th national title. Playing in the preliminary round of the C1, they have beaten Cercle of Joachim by beating in Mauritius (1-0) as in the second leg in Dar-es-Salaam (2-0).

In 16th, Yanga (as it is called) won APR in Rwanda (2-1) but was held in failure (1-1) on his soil.

In 8th, Tanzanians have grazed the feat, holding the Egyptians in respect in the first leg (1-1) before losing in the lead (2-1) in Alexandria.

Sent to C2, Yanga has stored the confidence among the Pharaohs. It will be daunting, do not doubt, Thomas ULIMWENGU will confirm it to you.
 
Go, go Yanga, daima mbele, kurudi nyuma ni mwiko
Tunaiombea timu yetu kila la heri, baraka zote ziwe juu yao
 
SWALI LA KIPIMAJOTO . Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui
Mimi najibu mapenzi ya soka yameongezeka. Si kweli kwamba wote hao hawana kazi. Watu wana kazi zao tena nzuri tu kuliko hata mleta uzi.

Issue hapa ni kwamba timu ya wananchi inapendwa sana kiasi kwamba watu wameacha shughuli zao na kuweka siku nzima kwa ajili ya kuisapoti timu yao.

Nani kama Yanga?
 
Wengine tukitoka kazini uwanja utakuwa umefurika. Nawatakia mechi safi wana Yanga waliopata nafasi leo. Goli mbili zinatutosha kwa leo. Mengine itakuwa ziada.
Sasa hivi kushajaa.. Nje polisi wanapiga mabomu
 
Na mnapigwa tu,hamna namba.Me Simba damu.
Hivi kuna channel inaonesha ?
 
Wapi MO11

Hakuna uzalendo tunakulaga! Zamu ya nani leo?

Zamu ya TP Mazembe tunakulaga, zamu yako itakuwa kesho!

MO Bejaia kapita, Al Ahly kapita, Lamba lamba kapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…