sawe6
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 558
- 367
kuna watu kazi ya siku moja anakula mwezi mzimaKweli umekariri maisha. Nani kakwambia kazi zinafanywa mchana pekee? Tumia uwezo wako wa kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu kazi ya siku moja anakula mwezi mzimaKweli umekariri maisha. Nani kakwambia kazi zinafanywa mchana pekee? Tumia uwezo wako wa kufikiri
nime-edit mkuu, naona unaniandamana sana.ALGERIA ila mleta mada amesema TUNISIA
Hivi we binti nani alikuficha?Kila la kheri Yanga, Mungu yu pamoja nasi. Sala zetu kwenu.
Mungu ibariki Yanga, ibariki Afrika.
#teamyangaforever#
Mimi najibu mapenzi ya soka yameongezeka. Si kweli kwamba wote hao hawana kazi. Watu wana kazi zao tena nzuri tu kuliko hata mleta uzi.SWALI LA KIPIMAJOTO . Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui
Mkuu unaomba Ban ya Siku moja? Omba ya wiki au mweziYANGA 0-1 TP MAZEMBE!! Tofauti na hapo nipigwe BAN ya siku moja Moderator be aware
Bila kificho wala kujiumauma!! Hii ndio hali halisi ya ukosefu wa ajira Tanzania!!
FUNS
Sasa hivi kushajaa.. Nje polisi wanapiga mabomuWengine tukitoka kazini uwanja utakuwa umefurika. Nawatakia mechi safi wana Yanga waliopata nafasi leo. Goli mbili zinatutosha kwa leo. Mengine itakuwa ziada.
Yanga tatizo mdomo, Nyau tatizo lake nini?Yanga tatizo mdomo