Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

labda vaeni jezi za taifa stars au Zanzibar hawatakujua upo upande upi
 
Wanaume wote hao wamelipiwa kiingilio na kidume 1! Kweli yanga bei rais! Sasa nyinyi ni wakulipiwa sio wakimataifa tena
 
Jamani tupo mbali naomba link ya kustream mechi hiyo tafadhali.Natanguliza shukrani.
 
Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
yaani ukifuata mlengo huo hutapata timu ya kuishabikia hata moja hapa tanzania,hao viongozi wako wa upinzani nao wanaishabikia licha ya kuiponda na kuichukia ccm sembuse wewe "kapuku"
 
Wanaume wote hao wamelipiwa kiingilio na kidume 1! Kweli yanga bei rais! Sasa nyinyi ni wakulipiwa sio wakimataifa tena

NA ARVs wanazomeza watanzania bure wakiwemo na ndugu zako na rafiki zako, wanalipiwa na nani? Kama umeolewa harusi yako hukuchangiwa...........so kulipiwa ni suala la kawaida
 
NA ARVs wanazomeza watanzania bure wakiwemo na ndugu zako na rafiki zako, wanalipiwa na nani? Kama umeolewa harusi yako hukuchangiwa...........so kulipiwa ni suala la kawaida
Muganyizi nini tena!!! We si ushalipiwa nenda kaone gem!!! Hao wa arv hawana uwezo wa kujinunulia! Wanasaidiwa!! Ila yanga mmelipiwa!!! Shida ikowapi!!! Nenda ushalipiwa!!!
 
Tushangilie tp apo nje ya uwanja kuliko kuvaa jezi za yanga
 
Naomba tupatiane updates za mechi iliomake headlines mjini. Nasikia watu wapo Taifa tangia alfajiri. Itasaidia watu kujipanga muda WA kwenda au kutokwenda kama uwanja utajaa mapema.
Thanks kwa kuunganisha thread.
SWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui.....je wewe jibu lako
kua mbunifu copy & paste
 
We njoo tuu ujaribu hiyo kitu
Niko nyuma ya goli la simba huku
 
IMG-20160628-WA0042.jpg
 
Attachments

  • IMG-20160628-WA0039.jpg
    IMG-20160628-WA0039.jpg
    121.1 KB · Views: 54
Back
Top Bottom