Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani ukifuata mlengo huo hutapata timu ya kuishabikia hata moja hapa tanzania,hao viongozi wako wa upinzani nao wanaishabikia licha ya kuiponda na kuichukia ccm sembuse wewe "kapuku"Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
Wanaume wote hao wamelipiwa kiingilio na kidume 1! Kweli yanga bei rais! Sasa nyinyi ni wakulipiwa sio wakimataifa tena
Muganyizi nini tena!!! We si ushalipiwa nenda kaone gem!!! Hao wa arv hawana uwezo wa kujinunulia! Wanasaidiwa!! Ila yanga mmelipiwa!!! Shida ikowapi!!! Nenda ushalipiwa!!!NA ARVs wanazomeza watanzania bure wakiwemo na ndugu zako na rafiki zako, wanalipiwa na nani? Kama umeolewa harusi yako hukuchangiwa...........so kulipiwa ni suala la kawaida
Kidume manji au nani? Muro?Wanaume wote hao wamelipiwa kiingilio na kidume 1! Kweli yanga bei rais! Sasa nyinyi ni wakulipiwa sio wakimataifa tena
Maji!!! Kawalipia wooooote hao!!!!Kidume manji au nani? Muro?
Basi sitaenda uwanjaniPia Azam TV na Super Sport itakuwa live. Hivi punde nitawaletea vikosi vya timu zote.
Thanks kwa kuunganisha thread.Naomba tupatiane updates za mechi iliomake headlines mjini. Nasikia watu wapo Taifa tangia alfajiri. Itasaidia watu kujipanga muda WA kwenda au kutokwenda kama uwanja utajaa mapema.
kua mbunifu copy & pasteSWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui.....je wewe jibu lako
Pamoja sana mkuuYanga kila kheri
Yanga Afrika daima