Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Rais kasema tufanye kazi, nyie mmeenda kujazana uwanjani asubuhi badala ya kupiga kazi. Ngoja sasa jamaa waje kuwatimua. mpira mda wake saa tisa. kwa sasa tuendelee kuijenga nchi ebooooo.

Hapa kazi tu
 
Wa mchangaji mtaendelea kuteseka hivi mpaka lini ?
 
YCTP.jpg

Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo
 
Wewe jifariji tu lakini kipigo kiko pale pale.

Hata kama Katumbi angekuwa amekufa kabisa kushindwa kuwalipa wachezaji ndani ya muda mfupi hivi ni ndoto.

Hayo mambo yako bongo tu kwenye soka la magazetini yaani Muro kawa maarufu kuliko Amis Tambwe na Kamusoko.

Wewe, Manji amesema wambea wote mtafute nguo za njano mkalipiwe muingie bure maana wengine siku nyingi sana hamjaona mechi za kimataifa.
 
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .

Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .

Hii maana yake ni kwamba sisi wachambuzi huru wa soka tusio na vitambulisho vya Tv au Radio Stations hatutaweza kuingia uwanjani , maana tayari washabiki wa yanga wamejaza uwanja

Kuna haja ya JAMIIFORUMS kutupatia vitambulisho ili inapotokea mambo ya bure kama haya ya washabiki kujaa uwanjani saa 12 asubuhi nafasi zetu zilindwe .
 
Utaifa kwanza.. Ulimwengu tunaimani kubwa nawe.. Kila la heri.
 
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .

Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
MAJORITY NI WAHUNI TU! MTU MWENYE AKILI HUWEZI KUWA UWANJANI SAA 12. BOTTOMLINE, KUNA MPIRA GANI LEO WA MAANA? FOOTBALL HOOLIGANISM
 
We mwenyewe upo kundi hilo hilo umejuaje yote hayo kqma haupo eneo la tukio?
 
we inaonekana umezoea kuingia asubuhi na kutoka saa kumi jioni, usikariri maisha
 
Back
Top Bottom