kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
mzoea vya kunyongawameisoma chura fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzoea vya kunyongawameisoma chura fc
Wanatubania sisi majirani ila wageni aaah anaachia tu, kweli Yanga ni jamvi la wageniMkuu umewaamulia hawa ndugu zako..Kwa hiyo watu wanajipitia tu wala hawakatai😀😀😀😀😀😡😡😡
Kwani mwanamke anaolewa wapi?!lazima aolewe kwao na ndio kilichojitokeza hchoInauma sana kufungwa nyumbani
Unajuwa ukiwa mshabiki wa damu huwezi kuchambua mpira sasa mimi huo mpira wa juu ni kama sielewi mpira wa aina gani maana unaona kabisa Mazembe wanajuwa wanafanya nini uwanjani. Sijaona hata clear chance moja ya kusema Yanga wangefunga zaidi ya Mazembe kukosa magoal japo machache. Mazembe unaona kama kabisa wanatafuta nini sasa sisi Tz ndio maana hatuendelei tunaangalia square pass wanazopiga Yanga ambazo hazina madhara yoyote na mchezaji gani asiyeweza kupiga pass kama hizo ndio maana kuna watu kama kina Iniesta wakichomeka pass ni balaa, hebu tusemeni ukweli ni wakati gani uliona Yanga wanaitishia Mazembe na ndio maana ukaona hata washabiki wa Yanga kuanza kuondoka uwanjani maana walikuwa hawaoni goal litatoka wapi.Mimi kama mdau wa mpira wa miguu nimefuatilia sana mchezo huu wa leo kupitia luninga. Niseme ule ukweli mpira wa YANGA kwa sasa hivi uko juu sana na kwa kweli wamecheza kwa ustadi mkubwa sana licha ya kufungwa. Goli walilofungwa ni goli ambalo timu yeyote inaweza kufungwa na inajulikana mpira ni dakika tisini. Mimi binafsi nimewakubali sana YANGA.
Umenivunja mbavu kwa kicheko, ulijuaje?Wewe jifariji tu lakini kipigo kiko pale pale.
Hata kama Katumbi angekuwa amekufa kabisa kushindwa kuwalipa wachezaji ndani ya muda mfupi hivi ni ndoto.
Hayo mambo yako bongo tu kwenye soka la magazetini yaani Muro kawa maarufu kuliko Amis Tambwe na Kamusoko.
Umenivunja mbavu kwa kicheko, ulijuaje?
Manji alisoma alama za nyakati ndomaana akaamua waingie bure tu ili kupoza machungu yapesa yaoHuu kweli mushiba wanakwendaga bure, teh tehView attachment 361008
Wakuu wote wa JamiiForums,
Leo jumanne jioni ya saa 10 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam itapigwa mechi kati ya Yanga ya Tanzania na TP Mazembe ya Congo DRC!
Ni mechi ya kimataifa, Kombe la Shirikisho la Mpira barani Afrika CAF! Tayari Yanga ina rekodi ya kufungwa katika mechi ya kwanza na MO Bejaia ya nchini Aljeria.
Mechi ya leo Yanga imejigamba kushinda na imefanya mkakati wa kuingiza wanachama wake bure ili kutia nguvu. Tutakuwa Live hapa JF kuwaletea matukio yote kabla na baada ya mechi.
Pia Azam TV na Super Sport itakuwa live. Asubuhi na mapema mashabiki wa Yanga na wapenda kabumbu kwa ujumla wameanza kumiminika Taifa kushuhudia kipute
![]()
Kikosi kamili cha Yanga leo
Manji alisoma alama za nyakati ndomaana akaamua waingie bure tu ili kupoza machungu yapesa yao
Huu sasa utumwa! Kuna wengine hapo kwenye picha wamepiga Kijani na Njano ili waingie uwanjani lakini ni wamatopeni kabisa