Mechi ya Yanga na Mediama kiingilio bure ila uwe na jezi OG

Halafu wasilojua walioleta wazo hili, kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza watu watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kwenye mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure, sasa ataenda kuitumia hiyo pesa yake kununua tiketi kwenye mechi ya Simba. Ni kama amenunua tiketi moja kuangalia mechi mbili.

Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.
 
Kiingilio bure? Mnafungwa mtaingiza mpaka majini humu, amini waaambia
 
Napenda football lakini kuvaa hayo manguo ya ccm never ever in my lifetime bora nikae uchi....
 
Kuanza kuchagua rangi ndiyo kutawaletea usumbufu mashabiki. Maana kila shabiki ana jezi yenye rangi anayoipenda.

Ibakie tu hiyo ya jezi og!! Aliyependekeza hili wazo ana akili sana. 👍
Hapana mashabiki wote Wana rangi zote sema ni za misimu tofauti ila wakivaa kwa pamoja kitakacho dominate ni rangi sio logo Wala majina ya wadhamini
 
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.
Nyie ndio mnaenda na jezi za Mediama halafu mnavunja viti then anakuja kulipishwa Yanga.

Safi sana GSM shikilia hapohapo
 

Attachments

  • GAku6meWYAAa6ib.jpeg.jpg
    58.8 KB · Views: 3
Tuleteeni habari kamili.
Mbona Makolo yanabwabeaja sana?
Kwani usipokua na jersey original na unahela yako cash huruhusiwi kukata ticket ukaenda kupata burudani la MWANANCHI?
 
Kwahiyo ulitaka uje kuvunja tena viti halafu mseme ilikua n game ya yanga?
 
Mechi inakuhusu nini? Au unawashwa?
 
Cha muhimu mshinde! Sio mlete mbwembwe halafu mnapigwa.
 
Sasa hapo nani anapiga pesa jez 35,000 huku mzunguko 5,000 GSM mjanja sana
 
Team haina mashabiki ila fujo kibao
 
Kama GSM mnamuita tajiri wenu, SportPesa ni nani wenu? Na hao wengine Haier na Whizmo wenye mikataba ya siri kuliko ya nchi nao mnawaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…