Mechi ya Yanga na Mediama kiingilio bure ila uwe na jezi OG

Mpira unawenyewe😀😀Kuna Ngoma ya juma nature anasema music unawenyewe mtu anaambiwa kiingilio kwenye show tsh 5000 anasema Bora akanunue maziwa uyo sio mtu WA muziki
 
Wewe kisokolokwinyo mmoja uliye huko Mwadiga ndani ndani ndiyo ujue nini kimetokea uwanjani kuwazidi wale waliokuwepo
Huko Mwandiga si ndipo wanatokea hao miso Misondo au .....maana sipajui. Sasa aliyekuwa uwanjani na anayetizama kwenye TV, yupi ana views nzuri?Kwenye TV kuna preview kiwanjani hamna preview,kama ingekuwa hivyo unavyozani ww na ujinga wako basi CCTV hazina maana.

Tunafanya hivi kuepusha club kupigwa faini kwaujinga wenu nyinyi 5imba, sababu siku hiyo tukio ni la Yanga na Serikali wameukabizi uwanja kwa Yanga.
 
Kwa hiyo wewe kolowizad unaitaka ticket ya bure????hamna namna vaa tu jezi ya mabingwq wa nchi
 
Nikiwa sina jezi nalipa kiingilio au nicheki kwa TV
 
Nawakumbusha jezi ni kiingilio Kwa jukwaa la mzunguko Tu.

Kama hutak lipa Kae VIP
 
Unakata VIP A na B au Loyal...kule unaingia na nguo zako za nyumbani
 
Ni namna nyingine ya kuzuia simba dam dam kuingia uwanjani!! Huu ni ubaguzi inabidi serikali iingilie kati!! Hiyo jezi siwezi kuvaa hata nikipewa bure!!
 
Serikali ipo kila mahali, unadhani wanafanya uchunguzi kwa viclipu vyako ambavyo tena unachagua vipi vya kuangalia na vingine usivyovipenda unavikwepa. Tulishayamaliza haya embu tusirudi nyuma. Nilishakwambia kibongobongo hakuna mtu anashangilia mpirani kwa kufanya vurugu. Anayefanya vurugu mara zote ni yule ambaye hajapendezwa na matokeo.

Na kukusanua tu hayo mambo ya tajiri kanunua tiketi ni siasa za kizamani. Yaani mnadhani GSM kaingia mfukoni akatoa milioni 300 akaikabidhi klabu wakati yeye ndiyo Yanga mwenyewe? Kwa hiyo katoa pesa mfuko wa shati akaiweka kwenye mfuko wa suruali? Hizi siasa zimepitwa na wakati ila endeleeni wala hayanihusu kama unavyosema
 
Leta habari kamili basi? Jezi yoyote ya Yanga au za msimu huu pekee?
Na ni za mashindano yote au haya ya CAF pekee?
Vaa jezi yoyote orijino ila iwe na chata ya GSM
 
Sasa kuna tatizo gani akiamua kufanya hivyo,unacho kasirika sikielewei wakati pesa zake.

Kwa wale walioruruka kwenye viti hawaja pendezwa na matokeo kweli akili ni nywele japo wahenga hawakusema za eneo gani.

Halafu sio mara ya kwanza kwa Yanga,Mamelod na Wydad nusu fainali kiingilio kilikuwa bure.Nyie tajiri yenu mnae mdai bil 20,kila mkipigwa aseme kiingilio kipande cha sabani na MoXtra mzunguko, ukija na Kartoni ya MoXtra pamoja Mche unaingia VIP,hajakatazwa.

Ila tushawazoea wazee wakupinga mpaka visivyo pinging mtazani timu yenu.
 
Wewe nae huwa n tahira asee!, Azam kafanya hivyo sio mara moja hukuja na mipasho yako hapa!. Huna jezi kaa nyumbani au unyonyeshe watoto wako, unapangia timu namna ya kujiendesha?.
 
Ila mpira umekuja kwa kasi sana safari hii na unatupumbaza sana..
 
Nikasirike vipi wakati hayanihusu? Wee timu unayojiita ya kihistoria unajilinganisha na Mamelodi ya juzi isiyo na mizizi ambayo inajulikana haina mashabiki na wamekuwa mara nyingi wanajaribu kuvutia watu viwanjani kwa kuweka viingilio bure. Unadhani walioamua hivyo wamefanya kuwaiga hao Mamelodi. Timu zenye mashabiki inaojua watakuja na watalipa haziweki viingilio bure hata siku moja.
 
Sasa ww unacho lalamika nini......... mashabiki wa Yanga kuingia bure?, kwa hiyo umeumia kwa nini mashabiki wameingia bure.

Mamelod mashabiki anao ila sio wengi kama ilivyo kwa Kaizer au Orlando, ila still akaamua watu kuingia bure, issue ni kuamua nyie kama hamja amua ni nyie.
 
Waamue wana fedha!? Tajiri wao unga unga, ndugu muddy, ile Bilioni20 mpaka leo hajatoa...

Huo ujasiri watautoa wapi!? wanaangaika na Miso Misondo sijui....hawa jamaa Rage alikuwa sahihi [emoji817]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hapo msemaji wa yanga kabugi hajatuma akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…