Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
View attachment 3263604
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
 
Kama lilipangwa kimkakati...ahirisho lingetoka mapema...angalau jana, vinginevyo tija yake ni ndogo maana watu wamekuwa busy kutafuta ukweli wa kufutwa kwa mechi au la. Pia ingewapunguzia gharama wanaosafiri kutoka nje ya Dar.
 
Back
Top Bottom