Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" View attachment 3263604
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.

Kama lilipangwa kimkakati...ahirisho lingetoka mapema...angalau jana, vinginevyo tija yake ni ndogo maana watu wamekuwa busy kutafuta ukweli wa kufutwa kwa mechi au la. Pia ingewapunguzia gharama wanaosafiri kutoka nje ya Dar.