marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Siku ya kutamatisha ligi kama jinsi ilivyo leo kwenye ligi yetu ya VPL mechi hua nyingi na kupelekea hata chanel zisizo za michezo kuonesha mechi.
Leo zipo mechi 6 na kwa kawaida mechi huwekwa kwenye chanel kulingana na uzito wake....
Yanga anacheza na na dodoma jiji mechi ambayo haina kinacho gombewa hii ni mechi amabayo hata mmoja kati yao ashinde goli 100 hakuna kitakacho badirika lakini imewekwa Azam Sports 2 chanel yenye hadhi ya michezo badala ya kuwekwa sinema zetu inapo stahili kuwekwa..
Wakati mechi ya Mbeya city dhidi ya Biashara united imewekwa chanel ya sinema zetu badala ya kuwekwa Azam Sports 2.
Hii haki kweli?
Hii mechi ya Mbeya city ina hadhi kubwa kuliko mechi ya Yanga ambayo hakuna kinacho gombewa
Mbeya city anapaswa kushinda hii mechi kujihakikishia kubaki kwenye ligi wakati yanga wanagombea hakuna.
Azam wajifunze kupanga mechi kwenye chanel yao kulingana na hadhi na sio majina