Mechi ya Yanga ndio ilipaswa kuwekwa sinema zetu

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Siku ya kutamatisha ligi kama jinsi ilivyo leo kwenye ligi yetu ya VPL mechi hua nyingi na kupelekea hata chanel zisizo za michezo kuonesha mechi.

Leo zipo mechi 6 na kwa kawaida mechi huwekwa kwenye chanel kulingana na uzito wake....

Yanga anacheza na na dodoma jiji mechi ambayo haina kinacho gombewa hii ni mechi amabayo hata mmoja kati yao ashinde goli 100 hakuna kitakacho badirika lakini imewekwa Azam Sports 2 chanel yenye hadhi ya michezo badala ya kuwekwa sinema zetu inapo stahili kuwekwa..

Wakati mechi ya Mbeya city dhidi ya Biashara united imewekwa chanel ya sinema zetu badala ya kuwekwa Azam Sports 2.

Hii haki kweli?
Hii mechi ya Mbeya city ina hadhi kubwa kuliko mechi ya Yanga ambayo hakuna kinacho gombewa

Mbeya city anapaswa kushinda hii mechi kujihakikishia kubaki kwenye ligi wakati yanga wanagombea hakuna.

Azam wajifunze kupanga mechi kwenye chanel yao kulingana na hadhi na sio majina
 
Iyo mechi atakama ilitakiwa ionyeshwe mechi moja tu iyo ya Yanga ndio ingepewa kipaumbele kwakua ndio timu ya Wananchi. Ndio inayo kipa king'amuzi cha Azam heshma.

Kwenye Ligi ya Tanzania uki iondoa Yanga mechizote zilizo baki zinakua hazina mvuto na kampuni ya Azam wanalifahamu ilo.
 
Hapa umeandika kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Ungekuwa na uhalisia usingeitaja Yanga peke yake bila kuitaja na Simba pia
 
Iyo mechi atakama ilitakiwa ionyeshwe mechi moja tu iyo ya Yanga ndio ingepewa kipaumbele kwakua ndio timu ya Wananchi. Ndio inayo kipa king'amuzi cha Azam heshma.
Kwenye Ligi ya Tanzania uki iondoa Yanga mechizote zilizo baki zinakua hazina mvuto na kampuni ya Azam wanalifahamu ilo.
Mkuu kuchukua kombe la mapinduzi ndo unatamba hivyo? je ungechukua vpl mara 4 mfululzo kisha kumpiga as vita nyumbani naugenini aaf ukamkuyuga al ahly mpaka akawa anatamani game ishe hapo si ungetembea uchi kabisa huku ukiuliza nani anayo kubwa, nene na nyeusi kama hii yangu?
 
Siku ya kutamatisha ligi kama jinsi ilivyo leo kwenye ligi yetu ya VPL mechi hua nyingi na kupelekea hata chanel zisizo za michezo kuonesha mechi.

Leo zipo mechi 6 na kwa kawaida mechi huwekwa kwenye chanel kulingana na uzito wake....

Yanga anacheza na na dodoma jiji mechi ambayo haina kinacho gombewa hii ni mechi amabayo hata mmoja kati yao ashinde goli 100 hakuna kitakacho badirika lakini imewekwa Azam Sports 2 chanel yenye hadhi ya michezo badala ya kuwekwa sinema zetu inapo stahili kuwekwa..

Wakati mechi ya Mbeya city dhidi ya Biashara united imewekwa chanel ya sinema zetu badala ya kuwekwa Azam Sports 2.

Hii haki kweli?
Hii mechi ya Mbeya city ina hadhi kubwa kuliko mechi ya Yanga ambayo hakuna kinacho gombewa

Mbeya city anapaswa kushinda hii mechi kujihakikishia kubaki kwenye ligi wakati yanga wanagombea hakuna.

Azam wajifunze kupanga mechi kwenye chanel yao kulingana na hadhi na sio majina
Rage akiwaambia mna ujinga huwa mnanuna. Mechi ya Yanga pamoja na kuwa haina kinachogombaniwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kuliko hiyo nyingine, na lengo la wenye Tv ni watu waangalie kwa wingi, hiyo ndio biashara yao. Umewaza kwa akili ya kijima sana.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
lete matokeo basi. hao Utopolo nao wanaangalia mechi ya Simba
 
"Nawashukuru Azam media Kwa kuonyesha uwezo wao Na ubabe wa kuonyesha mechi nane Kwa wakati mmoja,AFCON walishindwa, Azam wameweza. hii inaonesha umahiri walio nao...Mechi nane Kwa wakati mmoja!Sio Jambo dogo ujue? mpaka Sinema zetu Leo wameonesha mechi,,Utopolo imeoneshwa channeli Gani? Sinema zetu au??''
-Maalim Haji Manara
 
Rage akiwaambia mna ujinga huwa mnanuna. Mechi ya Yanga pamoja na kuwa haina kinachogombaniwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kuliko hiyo nyingine, na lengo la wenye Tv ni watu waangalie kwa wingi, hiyo ndio biashara yao. Umewaza kwa akili ya kijima sana.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Leo nimezunguka vibanda umiza karibia 12 vyote vinaonesha Simba Tu hata kama TV zipo 5...
Wananchi tunapata tabu Sana mtaani[emoji22]
 
Kama Yanga mechi zake zingekua zinaonyeshwa katika king'amuzi cha star time Nina hakika hakuna mwananchi ambaye kwake angekosa icho king'amuzi ili aione timu ya wananchi.
So what hujui kutofsutisha hadhi ya mechi na hadhi ya timu ...meshi ya leo Yanga na dodoma jiji ilikua haina hadhi kuizidi mechi ya Mbeya city
 
Leo nimezunguka vibanda umiza karibia 12 vyote vinaonesha Simba Tu hata kama TV zipo 5...
Wananchi tunapata tabu Sana mtaani[emoji22]
Huwezi kuacha mechi ya maana hasa ya timu ambayo inapigania kubaki ligi kuu au inayo kabidhiwa ubingwa ukaweka mechi ya yanga ambayo hawana wanacho gombea
 
Back
Top Bottom