Hahahaaa. Acha tu ndugu yangu. Kufungwa si jambo dogo ujue. πHahahahaah
Umeongea kwa upole mpaka nimekuonea huruma
Hahhahhaha haujaanza tu badoHahahaaa. Acha tu ndugu yangu. Kufungwa si jambo dogo ujue. [emoji85]
Nakazia hapo ShunieWala mm usinipe kisingizio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi zahera mmefukuza yaani leo mnafungwa 3
π³π³π³ππππππUsiseme hivyo bwaana. Tunashinda kama kawaida.
Zahera kaenda kula sikukuu na kusaini mikataba ya biashara zake kabla ya mwaka mpya mtamuona najua hamtaamini.
Hahaaa. Umeme umekatika huku kwangu. ππHahhahhaha haujaanza tu bado
Hapo itakua kashapandisha pressure ujueHahahhaha tumuonee huruma anatia huruma sana masikini
πππHahahhaha tumuonee huruma anatia huruma sana masikini
Hahhahah ngoja nikusaidie yaani leo mnafungwa pamoja unatia huruma hakuna namna [emoji116][emoji116]Hahaaa. Umeme umekatika huku kwangu. [emoji85][emoji85]
Huu umeme utakuwa kisingizio ujueGoli tatu kwani tumesimama. [emoji126][emoji126][emoji126] mnipage matokeo mana umeme kwangu umekata. [emoji85][emoji85]
Hakuna shida ila ukubaliane na matokeo yoyote yatakayokujaHakuna umeme huku nyie ndio mtanipa matokeo. ππ
Ahsante Mwl Kashasha. πππHahhahah ngoja nikusaidie yaani leo mnafungwa pamoja unatia huruma hakuna namna [emoji116][emoji116]
Golikipa Ramadhani Kabwili ameshindwa kuendelea na mchezo baada ya kupata majeraha, amelazimika kupumzishwa kumpisha Klaus Kindoki.
HT: African Lyon 0-0 Yanga