Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Acha tu ndugu yangu. Kufungwa si jambo dogo ujue. 🙈Hahahahaah
Umeongea kwa upole mpaka nimekuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Acha tu ndugu yangu. Kufungwa si jambo dogo ujue. 🙈Hahahahaah
Umeongea kwa upole mpaka nimekuonea huruma
Hahhahhaha haujaanza tu badoHahahaaa. Acha tu ndugu yangu. Kufungwa si jambo dogo ujue. [emoji85]
Nakazia hapo ShunieWala mm usinipe kisingizio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi zahera mmefukuza yaani leo mnafungwa 3
😳😳😳😀😀😀😎😎😎Usiseme hivyo bwaana. Tunashinda kama kawaida.
Zahera kaenda kula sikukuu na kusaini mikataba ya biashara zake kabla ya mwaka mpya mtamuona najua hamtaamini.
Hahaaa. Umeme umekatika huku kwangu. 🙈🙈Hahhahhaha haujaanza tu bado
Hapo itakua kashapandisha pressure ujueHahahhaha tumuonee huruma anatia huruma sana masikini
😂😂😂Hahahhaha tumuonee huruma anatia huruma sana masikini
Hahhahah ngoja nikusaidie yaani leo mnafungwa pamoja unatia huruma hakuna namna [emoji116][emoji116]Hahaaa. Umeme umekatika huku kwangu. [emoji85][emoji85]
Huu umeme utakuwa kisingizio ujueGoli tatu kwani tumesimama. [emoji126][emoji126][emoji126] mnipage matokeo mana umeme kwangu umekata. [emoji85][emoji85]
Hakuna shida ila ukubaliane na matokeo yoyote yatakayokujaHakuna umeme huku nyie ndio mtanipa matokeo. 😜😜
Ahsante Mwl Kashasha. 🙈🙈🙈Hahhahah ngoja nikusaidie yaani leo mnafungwa pamoja unatia huruma hakuna namna [emoji116][emoji116]
Golikipa Ramadhani Kabwili ameshindwa kuendelea na mchezo baada ya kupata majeraha, amelazimika kupumzishwa kumpisha Klaus Kindoki.
HT: African Lyon 0-0 Yanga