MECHI YA YANGA SANGAPI WANAYANGA WENZANGUnAIPENDA YANGA BUREEEE

MECHI YA YANGA SANGAPI WANAYANGA WENZANGUnAIPENDA YANGA BUREEEE

hiki kisimba kitoto hiki leo lazima tukiadhibu hiki, ila tutakiadhibu kidogo kwa kuwa hiki ni kisimba kitoto cha kiafrika na sisi ni 'young' African, all in all tukutane jumapili uwanja wa taifa kuhitimisha rasmi mbio za sakafuni za mnyama a.k.a mikia pale watakapo pokea kichapo kitakatifu toka kwa ma-red devils
 
jamani mlioko a town mbona kimyaaa???? tuambieni kama kibanda kiemisha ungua!
 
Hahaaa. Umeme umekatika huku kwangu. [emoji85][emoji85]
Hahhahah ngoja nikusaidie yaani leo mnafungwa pamoja unatia huruma hakuna namna [emoji116][emoji116]

Golikipa Ramadhani Kabwili ameshindwa kuendelea na mchezo baada ya kupata majeraha, amelazimika kupumzishwa kumpisha Klaus Kindoki.

HT: African Lyon 0-0 Yanga
 
Ahsante Mwl Kashasha. 🙈🙈🙈

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom