Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa wana vichwa vya kuku ni wepesi kusahau......Mzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
Saa tisa ya nini mpira kama huna uwezo unafungwa,Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake.. ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa pretoria.. jua kali...maana anajua jua Waarabu hawaliwezi
Huyo mwenye red ayes alichangia goli mbili kwenye zile 5Mzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
Tarehe 24 mwenzi huuHii mechi ni lini?
Labda mchezo wa bao sio mpiraCRB watafungwa na Yanga hapa iwe isiwe mechi zao za mwisho ndio zitaamua nani aende..
Kolowizards katika uchaa-mbuzi juu ya Yanga SC kama Muimba nyimbo za taarabu au singeli.Mzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
Ajabu wewe ndio thinktank wa makoloMzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
Mara nyingi mechi za mwishoni huchezwa muda mmoja kuepusha upangaji wa matokeo.Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake.. ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa pretoria.. jua kali...maana anajua jua Waarabu hawaliwezi
Mbumbumbu akijaribu kujidhihirisha hadharaniMzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
Mpira huu mmeanza kuangalia Azam HD 3 unawasumbua sana kujua haujajifunza kitu na Afcon imeisha juzi tu..