Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haHuyo mwenye red ayes alichangia goli mbili kwenye zile 5
Mmechoka kutegemea majini sasa mnaomba juaWaarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
Sio kweli, Medeama vs Al Ahly itachezwa tarehe 23 huku mechi ya Yanga vs CRB itachezwa tarehe 24game zote za medeama vs ahly na yanga vs crb
zitaanza mda mmoja, saa moja usiku kuepusha kupanga matokeo!
Samahani mkuu, hivi una akili kweli?Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
Mamelodi ashatwaa ndoo hata akipanga anasikilizwa! Nyie ngumbaru walozi mmetwaa nini?Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
Hivi kati ya tz na Algeria wapi kuna jua la maana na wapi kuna joto sana.Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
tar 23 itakuwa ijumaa nakutakuwa na game moja tu kati ya etoul du sahel vs esperence, game nyingine zote zitapigwa mda mmoja siku ya jumamosi tar 24Sio kweli, Medeama vs Al Ahly itachezwa tarehe 23 huku mechi ya Yanga vs CRB itachezwa tarehe 24
Mzize ana red eyes na ndio striker wenu tegemezi halafu ukamchezeshe kwenye jua ataonaje?? Kwanza hivi mnaelewa maumivu yake?
Halafu labda kama tu utakuwa umesahau
2019 mliwapeleka Pyramids Mwanza CCM Kirumba mechi imechezwa saa 10 jua kali plus pitch mbovu kwa lengo la kuwafanya jamaa wasipige mpira mkubwa.
Mechi iliisha kwa kipigo cha 2-1
Jua halikuweza kuwasaidia.
Unataka mjaribu msimu huu??
KumbafHata mkiweka saa 7 mchana na mkachezesha majini yenu yanayo fugwa na ashura cheupe mtapigwa tuu