Huu upuuzi ndio uliotugharimu tulipofungwa goli 5-0 na matopeni damn [emoji16]Msuva alifanya ujinga kwenda kumzonga refa hadi kaanguka chini......ni busara tu za refa hajapewa kadi nyekundu....alikuwa anadai penalti.
Mpira ni vurugu mtindo mmoja.
majmaj watashukaa darajaa waspojiangaliaKwani Rufaa tayari?
Nami ndio nashangaaYanga wamepanic sana wakati mabingwa
hahah..na wakome hawa wapuuz fc,wazee w mezaniHamna kitu,sijui walipoingia vyumba vya kubadilishia Mwadui wamenyang'anywa fungu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona sasa tunaangalia ragbi.Yanga wanaonyesha mpira wa ajabu sana hapa!!
Mkuu dak 86 bado tunaongozwa.Wakuu ni dakika ya ngapi kwani? Please..ubingwa bila kumfunga Mbao haunogiii hah hha hha
Majimaji hawapo katika danger zone.!majmaj watashukaa darajaa waspojiangalia
Ni wa kupiga huyo hamna namna ingineHa ha ha, refa kala hela na amebana kutoa magoli, lazima ale kichapo.
Mbeya City kasawazisha,tayari anakua na point 32 badala ya 35,bado ni danger zoneMajimaji hawapo katika danger zone.!
Ni kweli kwa upuuzi alioufanya Msuva sio wa kuutetea.Huu upuuzi ndio uliotugharimu tulipofungwa goli 5-0 na matopeni damn [emoji16]
brazaa,ndanda na afrca lyon wakishnda majmaj watashukaMajimaji hawapo katika danger zone.!