Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #241
Huu upuuzi ndio uliotugharimu tulipofungwa goli 5-0 na matopeni damn [emoji16]Msuva alifanya ujinga kwenda kumzonga refa hadi kaanguka chini......ni busara tu za refa hajapewa kadi nyekundu....alikuwa anadai penalti.
Mpira ni vurugu mtindo mmoja.