Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Msuva alifanya ujinga kwenda kumzonga refa hadi kaanguka chini......ni busara tu za refa hajapewa kadi nyekundu....alikuwa anadai penalti.

Mpira ni vurugu mtindo mmoja.
Huu upuuzi ndio uliotugharimu tulipofungwa goli 5-0 na matopeni damn [emoji16]
 
hapa ni jaza ujazwe...simba mbele kwa mbele. bado point zetu tatu kule FIFA , Ngada fc mtakuta mmetushikia kombe letu kama tu ilivyokuwa kwa wiz kid dhidi ya Alikiba
 
84' Mins | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Back
Top Bottom