Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

44' Mins | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
HALF TIME | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Ndanda fc vipi huko jamani?
 
Reactions: SDG
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekinga tenga kwenye bomba la maji wakisubiri lijae..
Hahahaa..... huyu refa ange balance penalti angalau 6 kila kipindi sasa sijui atazitoaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…