kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
ebu tupeni update za nyau wa jangwani vipi hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo ni machinjioni hah hahHawa Mbao wametukalia vibaya sana.....siwaelewi kabisa.!
Vuta pumzi mkuu kipindi cha pili utafurahi zetu dua.Hawa Mbao wametukalia vibaya sana.....siwaelewi kabisa.!
Wameshindwa kufikisha tangu ligi inaanza waje wafikishe leo kwa dk 90Sidhani kama watafikisha ...kazi wanayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekinga tenga kwenye bomba la maji wakisubiri lijae..Masikini Simba yamerudi tena 12.
Hawa Toto siwapi nafasi kabisa mbele ya MtibwaMtibwa 1-Toto 1
Tujipange kwa kipindi cha pili.....japo Simba wamerushwa kwe goli kumi na Mbili pale pale.CCM Kirumba HT
Mbao 1-0 Yanga
Daki ya 29 Mbao 1-0 Yanga.
Mwadui wanapata goli taifa Simba 2 - 1 Mwadui.
Hahahaa..... huyu refa ange balance penalti angalau 6 kila kipindi sasa sijui atazitoaje.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekinga tenga kwenye bomba la maji wakisubiri lijae..