Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

UPDATE:

CCM Kirumba Mpira Umesimama Mabishano. Yanga wanafukua Dawa kwenye goli la Mbao
 
asee,uwanja umechafuka vurug za wachezaj uwanjan baad ya ki2 hakifahamik kimekutw katik lango la mbao fc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hakihusiani na mchezo KITOLEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…