wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Dawa inachomewa ziwan sio uwanjanYanga wanafukua dawa Kirumba pale sasa tuone magoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa inachomewa ziwan sio uwanjanYanga wanafukua dawa Kirumba pale sasa tuone magoli
Asikwambie mtu heshima ya soka ni ubingwa, hata Chelsea kafungwa sana lakini leo ni bingwa.Ni muhim sana siku zote heshima ndio inayotafutwa kwenye soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,uwanja umechafuka vurug za wachezaj uwanjan baad ya ki2 hakifahamik kimekutw katik lango la mbao fc.
Huo utakuwa mchezo wa pool table sio soka.Tulia wewe hata meza ni sehemu ya mpira
MBaoooooooKirumba naona mabishano yanaendelea pale kwa timu zote, naona wapo kufukua dawa kwenye lango la Mbao.
Eeh...mbao wachawi balaaasee,uwanja umechafuka vurug za wachezaj uwanjan baad ya ki2 hakifahamik kimekutw katik lango la mbao fc.
Yapo tumetoa daw mtani yataingagia....vipi mtani kwenye 12 bado ngapi.?Hamna magoli
Kwa hiyo pale walinyunyizia majivu tu.?Dawa inachomewa ziwan sio uwanjan
Haka katimu Yanga kakazidi miaka 70 lakini ndo hivyo tena!
Toto keshashuka hapaHadi sasa ni mapumziko na Ndanda anaongoza 1 kwa bila.
Tulia tulia mbao wawape dozi nzitoHuo utakuwa mchezo wa pool table sio soka.
Hahahaah 11 bado mtani.!Yapo tumetoa daw mtani yataingagia....vipi mtani kwenye 12 bado ngapi.?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hao madogo hua wanahamisha uwanjaKwa hiyo pale walinyunyizia majivu tu.?
Afadhali saizi tunafika langoni kwao kwa spidi ya ajabu.Furaha niliyokuwa nayo tokea asubuhi inayeyuka,Yanga fungeni mbao hapo tuserebuke sie
Mi nataka ushindi maswala ya kubeba ndoo huku umefungwa sitaki kusikiaFuraha niliyokuwa nayo tokea asubuhi inayeyuka,Yanga fungeni mbao hapo tuserebuke sie