Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

UPDATE:

CCM Kirumba Mpira Umesimama Mabishano. Yanga wanafukua Dawa kwenye goli la Mbao
 
asee,uwanja umechafuka vurug za wachezaj uwanjan baad ya ki2 hakifahamik kimekutw katik lango la mbao fc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hakihusiani na mchezo KITOLEWE
 
Kirumba naona mabishano yanaendelea pale kwa timu zote, naona wapo kufukua dawa kwenye lango la Mbao.
MBaooooooo
_20170520_170356.JPG
 
Back
Top Bottom