KANYIMBI
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,167
- 4,374
Ukweli ni kwamba mechi zote za ligi kuu zikiwemo zile za Simba zitaonyeshwa na Azam Tv.
Dstv kama itaingia mkataba na Simba inaweza kuonyesha mechi za Simba day, Simba Super Cup na Game zote za CAF zikiwemo zile za kombe jipya la CAF super cup
Hivyo kibiashara Simba ndio itanufaika maana atakuwa analamba mshiko toka kwa Azam na Dstv pamoja na kuangaliwa Dunia nzima