Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Ukweli ni kwamba mechi zote za ligi kuu zikiwemo zile za Simba zitaonyeshwa na Azam Tv.

Dstv kama itaingia mkataba na Simba inaweza kuonyesha mechi za Simba day, Simba Super Cup na Game zote za CAF zikiwemo zile za kombe jipya la CAF super cup

Hivyo kibiashara Simba ndio itanufaika maana atakuwa analamba mshiko toka kwa Azam na Dstv pamoja na kuangaliwa Dunia nzima
 
hapo ndipo anapojififichia Hajii Manara
yeye anatukana na kuwasema vibaya watu kwa maumbile yake mfano Mwakalebela alikua anamwita Tumbo kubwa kilo mia nanee
ajabuu waaala nyie watetezi hamsemii
ila akitaniwaa yeyee inakuwa Mungu hapendii
ili uheshimike nawe unapaswa uheshimu wenzakooo
 
Mtu unaweza kumtania mtu kwa vitu alivyovitengeneza mwenyewe lakini sio vile Mungu alivyovitengeneza. Suala la kitambi ni ugonjwa wa kitabia ambao mtu ameamua awe hivyo kutokana na life style yake lakini tatizo la haji ni la Jinsi alivyoumbwa na hawezi kujilazimisha ata kupaka mwili rangi ili awe sawa na sisi ila kitambi akiamua sekunde kinamomonyoka
 
Nyie simba na mashabiki wa simba ni komeo sana, hili wazo mmekurupuka bila kutumia bongo zenu sawa sawa

Ni watu wangapi wanauwezo wa kumudu DSTV?
acha ujinga wewe
hujui biashara
hata akitokea mtu mmoja kanunua dstv kwa ajili ya simba ni loss kwa mpinzani wake
dstv bei ni 79 k
azam bei ni 100k cha dishi 210 k
sasa uniambie nani mwenye gharama kubwa
dstv kuna vifushi vya 29000 hapo ndio simba tutaangalia mechi zetu
 
Kilichoandikwa hapa ni UTOPOLO classic baby
 
Hujui kitu, nenda DSTV inapatikana mjini tu ila nenda hata huko mahenge kijijini kabisa isyaga watu ni azam tu huwezi kununua DSTV ili uangalie game za kimataifa za simba
 
Hujui kitu, nenda DSTV inapatikana mjini tu ila nenda hata huko mahenge kijijini kabisa isyaga watu ni azam tu huwezi kununua DSTV ili uangalie game za kimataifa za simba
kwa ajili ya simba watu watanunua
 
Mo asifikiri anamkomoa Manara au Azam bali anawakomoa maelfu ya washabiki wa Simba ambao wengi hawana uwezo wa kumiliki DSTV
 
Mo asifikiri anamkomoa Manara au Azam bali anawakomoa maelfu ya washabiki wa Simba ambao wengi hawana uwezo wa kumiliki DSTV
hebu taja bei ya ving'amuzi vya azam linganisha na dstv
 
Kila la kheri huko muendako

Azam tv wanataka kuvitoa vilabu vya Tanzania katika utumwa kumbe nyinyi mnapenda utumwa

Dstv wapo miaka mingi kabla ya azam tv mbona hawakutoa pesa kama ambazo sasa azam wanatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…