Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Utakuwa mbumbumbu mpaka lini?, kwenye nchi yetu Azam TV tayari kajipambanua na ana haki ya kila kitu kwenye media, inapotokea simba umekosa ile media coverage kutoka Azam TV hiyo ni moja kufeli kwa timu ya simba, na hilo kosa ni la Mo dewji kuikataa ofa ya Azam na sio kwasababu ni ndogo ila ni kwasababu za wivu wake na UMBUMBUMBU mlinao wanasimbaumeandika pumba tu kijana
ndio maana nikasema mechi za simba kuoneshwa dstv
ukaamua kumaliza chaji kuandika utopolo mtupu