Medeama vs TP Mazembe confederation cup 14:08.2016

Medeama vs TP Mazembe confederation cup 14:08.2016

1471195962269.jpg
 
Hatuwezi kukubali kuendelea kuwakilishwa na hawa wapumbavu yanga inabidi mwakani waondolewe kabisa...

Yanga wanashindwaje kuendelea kushiriki ikiwa kila msimu wanabeba wao ndoo..?

Au na nyinyi mnajipa imani kuwa Mavugo huyu aliyecheza na URA atawapa ubingwa?

[emoji23]
 
Hatuwezi kukubali kuendelea kuwakilishwa na hawa wapumbavu yanga inabidi mwakani waondolewe kabisa...
Ama kweli nyie ni mambumbumbu.. Kwani hujui kwamba na mwakani mnawakilishwa na Yanga.... Mtasubiri sana, wa mchangani nyie
 
Duh umenichekesha sana! Yaani mwaka 2078? [emoji23]

Usiwavunje moyo bhana! wamemleta Mavugo ili nao washiriki Kimataifa sasa unavyosema mwaka 2078 huyo mavugo si atakuwa kibabu?
Mavugo huyo mdembwedo.... subiri ligi ianze ndio utajua namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom