Medeama vs TP Mazembe confederation cup 14:08.2016

Mavugo huyo mdembwedo.... subiri ligi ianze ndio utajua namaanisha nini.
Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).

Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.

Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.

HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE. [emoji23]
..... nawaonea huruma sana kama timu yao ikishindwa kushika nafasi ya pili.
 
Teh teh teh ni yale yale tuu ya Serunkuma. Halafu wakina Hans Pope wanawajulia kweli wanachama wao yaani kila mwaka full maigizo na expectation za kufa mtu.
 
Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).

Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.

Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.

HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE. [emoji23]
Pale hakuna mchezaji amekuzwa jina tu hana lolote.
 
Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).

Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.

Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.

HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE.
emoji23.png

..... nawaonea huruma sana kama timu yao ikishindwa kushika nafasi ya pili.
Daj ww jamaa ni muongo kwel Leopard kafungwa 4-1 sijui Hiyo 4-0 imetoka Wapi
 
Ama kweli nyie ni mambumbumbu.. Kwani hujui kwamba na mwakani mnawakilishwa na Yanga.... Mtasubiri sana, wa mchangani nyie
Kwani mmesha sajiri? halafu si nimedikia mmekodisha timu!? safari hii labda mubebe ndoo ya mavi...
 
Daj ww jamaa ni muongo kwel Leopard kafungwa 4-1 sijui Hiyo 4-0 imetoka Wapi

Unafuatilia Mpira? au una adithiwa?

Haya hapa matokea.
14/08/2016 Sportpesa Premier League
Kakamega homegoyz 4 vs 1 AFC Leopards.
 
Kwani mmesha sajiri? halafu si nimedikia mmekodisha timu!? safari hii labda mubebe ndoo ya mavi...
Sijui utajinyonga ama vipi pale utapo maliza nafasi ya 3...

Ila ukijitahid nafasi ya 2.

Ile ya kwanza ina wenyewe pale. [emoji23][emoji23]
 
Miaka ya yanga kushiriki hii michuano ni mingi sana,hatuna mpango wa kuachia ubingwa ligi kuu,wale mbumbumbu watulie tulii

Kweli kiongozi miaka ya Yanga kushiriki haya mashindano ni mingi sana....kuliko miaka ya kushindana...kwenye michuano hiii....!!!
 
Yanga wana laana ya kununua ubingwa...na kupata matokeo ya dhuruma kwenye ligi....laana hiyo haitamuacha mpaka pale atakapo tubu kwa aliowadhurumu kama vile wakina Coat Union na Mwadui......bila ya hivyo ataendelea kuwa kama mwanamke malaya huko ambako hakuna kununua mechi......ambapo kila mwanaume anajipigia tu.......!!!
 
Sijui utajinyonga ama vipi pale utapo maliza nafasi ya 3...

Ila ukijitahid nafasi ya 2.

Ile ya kwanza ina wenyewe pale. [emoji23][emoji23]
mchezo wenu wa kunujua mechi safari hii msithubutu...
 
Kumbe yanga inawaumiza roho kushiriki confederation cup poleni ligi inaanza J1 muache malalamiko chezeni mpira.
 
Yanga wana laana ya kununua ubingwa...na kupata matokeo ya dhuruma kwenye ligi....laana hiyo haitamuacha mpaka pale atakapo tubu kwa aliowadhurumu kama vile wakina Coat Union na Mwadui......bila ya hivyo ataendelea kuwa kama mwanamke malaya huko ambako hakuna kununua mechi......ambapo kila mwanaume anajipigia tu.......!!!
Kwani yule moooooo hawezi kununua?na mwaka huu tunanunua tena,sasa si bora mjitoe kwenye ligi mana hakuna msimu tutaacha kununua,msalimie mavugo.
 
mwakan bado tupo sana kimataifa..nyie mikia fc mtaendelea kukata sana keki pale taifa
 
Back
Top Bottom