Medeama vs TP Mazembe confederation cup 14:08.2016

Medeama vs TP Mazembe confederation cup 14:08.2016

Yanga wana laana ya kununua ubingwa...na kupata matokeo ya dhuruma kwenye ligi....laana hiyo haitamuacha mpaka pale atakapo tubu kwa aliowadhurumu kama vile wakina Coat Union na Mwadui......bila ya hivyo ataendelea kuwa kama mwanamke malaya huko ambako hakuna kununua mechi......ambapo kila mwanaume anajipigia tu.......!!!
kwa hyo hata zile mech za mwisho msimu uliopita ambazo Simba angeshinda angekua kwenye nafs nzuri ya kuchukua ubingwa.lakin akapoteza unataka kusema yanga alinunua yale matokeo ya simba kufungwa na totoafrica na mwadui..
Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).

Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.

Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.

HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE. [emoji23]
..... nawaonea huruma sana kama timu yao ikishindwa kushika nafasi ya pili.

Teh teh teh ni yale yale tuu ya Serunkuma. Halafu wakina Hans Pope wanawajulia kweli wanachama wao yaani kila mwaka full maigizo na expectation za kufa mtu.
 
Yanga wana laana ya kununua ubingwa...na kupata matokeo ya dhuruma kwenye ligi....laana hiyo haitamuacha mpaka pale atakapo tubu kwa aliowadhurumu kama vile wakina Coat Union na Mwadui......bila ya hivyo ataendelea kuwa kama mwanamke malaya huko ambako hakuna kununua mechi......ambapo kila mwanaume anajipigia tu.......!!!
Simba nao wana laana ya nani ya kufukuzia na kukosa ubingwa kwa mwaka wa nne sasa?
 
Haiwezekani kabisa hawa mazembe watakuwa wameuza match
 
Simba nao wana laana ya nani ya kufukuzia na kukosa ubingwa kwa mwaka wa nne sasa?

Simba hawana laana bali wanapigania ubingwa wa halali....ushindi wao hauhitaji msaada wa refa kutoa penati....au kungoja mpaka timu pinzani wawe pungufu.....wala hawahitaji mikono ya TFF kupigania ubingwa.....
 
Kwani yule moooooo hawezi kununua?na mwaka huu tunanunua tena,sasa si bora mjitoe kwenye ligi mana hakuna msimu tutaacha kununua,msalimie mavugo.

Na mtazidi kwa watalii huko kimataifa.....na kuzidi kulitia aibu taifa kwa kugeuzwa kichwa cha mwendawazimu......
 
Simba hawana laana bali wanapigania ubingwa wa halali....ushindi wao hauhitaji msaada wa refa kutoa penati....au kungoja mpaka timu pinzani wawe pungufu.....wala hawahitaji mikono ya TFF kupigania ubingwa.....
Na mtasubiri sana, kwani na soko lenu DSE litadoda kwa kuwa mtabaki kuwa matopeni tu,furaha yenu kwa mwaka itakua ni kula na kuonjeshana keki uwanja taifa tu, na kupanda azam marine kwenda unguja kwenye mapinduzi cup ambayo ndio size yenu,pole mzee wa matopeni.
 
Asante wazee wa kununua mechi....na nyie kwa kuwa kichwa cha mwendawazimu huko duniani.....
Acheni kuliaibisha taifa....
 
The Ghanaians left it late to pick maximum points in their Caf Confederation Cup game on Sunday
kwesi-donsu_1a3grcgsj3dm71s5ybccj4ouhi.jpg

Medeama netted in the third minute of injury time to snatch a 3-2 win over TP Mazembe of DR Congo in the group stage of the Caf Confederation Cup on Sunday.
 
Sasa ile 4-0 ilitoka wapi
Au NNE bila tafsiri yake ni ipi? Alfu unajitia unafuatilia mpira

Chura ana ruka ruka

Unafuatilia Mpira? au una adithiwa?

Haya hapa matokea.
14/08/2016 Sportpesa Premier League
Kakamega homegoyz 4 vs 1 AFC Leopards.
 
Aug 14, 2016
Sekondi-Tokoradi, Ghana

Medeama 3-2 Mazembe: Donsu strikes late to claim win for side

Medeama netted in the third minute of injury time to snatch a 3-2 win over TP Mazembe of DR Congo in the group stage of the Caf Confederation Cup on Sunday.

Source: kora gooal PF
Enoch Atta-Agyei, Moses Sarpong and Kwesi Donsu were on target for the Yellow and Mauves while Jonathan Bolingi and Rainford Kalaba fetched the Ravens’ consolation at the Sekondi-Essipong Stadium.

Medeama coach Prince Owusu made just a change to the side that handed Tanzania’s Young Africans a 3-1 defeat in their preceding match, with Victor Ayirey coming on for the suspended Paul Aidoo.

Hubert Velud of Mazembe, meanwhile, presented a strong side featuring Jean Kasusula, captain Nathan Sinkala, Rainford Kalaba and Ghana international Daniel Nii Agyei.

It was almost a ding-dong affair in the opening 20 minutes as both sides mounted attacks to open the scoring.

Samuel Adade was at hand to curtail a Roger Assale attempt for the away side in the seventh minute, just moments before Bernard Ofori sent a shot wide at the other end.

Kwesi Donsu then saw his free-kick deflected off target, before Eric Kwakwa tested goalkeeper Sylvian Gbohouo on 25 minutes.

Medeama goalkeeper Daniel Agyei was then called into action in the 30th minute, but it was the Yellow and Mauves who opened the scoring two minutes later through Enoch Atta-Agyei. The winger seemingly drove in a harmless free-kick but Gbohouo mysteriously spilled what should have been coolly collected, to give the home side the lead.

Back from the break, Medeama mounted more pressure in search for the second.

Atta-Agyei spurned a good opportunity while Donsu’s effort was saved by Gbohouo – both attempts coming within the first three minutes of the second period.

The Yellow and Mauves, however, consolidated their lead on 61 minutes through a Moses Sarpong penalty after Issama Mpeko handled the ball in the box.

This time around, the visitors didn’t take long to hit back, Jonathan Bolingi halving the deficit four minutes later.

The action was certainly not over as the visitors drew parity through a Kalaba 73rd minute header following a defensive lapse by the home side.

Following a series of exchanges, the game headed for a stalemate but Donsu netted late in added-on time to give Medeama a 3-2 win.

The Yellow and Mauves still sit second in the group, but now two points behind leaders Mazembe.

The Ghanaians have a last group match against MO Bejaia of Algeria, who suffered a 1-0 defeat at the hands of Young Africans on Saturday.
Source: Medeama 3-2 Mazembe: Donsu strikes late to claim win for side - Goal.com
 
Kwani yule moooooo hawezi kununua?na mwaka huu tunanunua tena,sasa si bora mjitoe kwenye ligi mana hakuna msimu tutaacha kununua,msalimie mavugo.

Nasma pole sana, nenda Azam watoto wa mjini,achana na hao katambuga fc
 
Back
Top Bottom