Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).Mavugo huyo mdembwedo.... subiri ligi ianze ndio utajua namaanisha nini.
Duh! basi jamani utani mbona unazidi. [emoji23]Wamatopeni wanatuwakilisha kwenye Keki Confideration Cup na Mapinduzi Cup.
Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).
Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.
Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.
HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE. [emoji23]
..... nawaonea huruma sana kama timu yao ikishindwa kushika nafasi ya pili.
Pale hakuna mchezaji amekuzwa jina tu hana lolote.Alisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).
Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.
Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.
HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE. [emoji23]
Pale hakuna mchezaji amekuzwa jina tu hana lolote.
Bye bye baba jeny..Duuuh sasa itakuwaje kuhusu hawa vyura ina maana hawawez shika japo nafas ya 3
Daj ww jamaa ni muongo kwel Leopard kafungwa 4-1 sijui Hiyo 4-0 imetoka WapiAlisifiwa sana alivyocheza na AFC LEOPARD (ambai leo huko kwenye ligi ya wamepigwa bao 4 bila).
Nikaona isiwe tabu ngoja nimtazame kwenye game ya URA FC.
Ndipo nikaanza kufananisha perfomance ya chirwa anapokutana na Mabeberu wenzake Kimataifa na huyu aliyekutana na vikaragosi wa Uganda.
HAWANA MCHEZAJI AISEE, HALAFU CHA KUSHANGAZA MASHABIKI WAO WANA EXPECTIONS KUBWA SANA KUTOKA KWAKE.
..... nawaonea huruma sana kama timu yao ikishindwa kushika nafasi ya pili.
Kwani mmesha sajiri? halafu si nimedikia mmekodisha timu!? safari hii labda mubebe ndoo ya mavi...Ama kweli nyie ni mambumbumbu.. Kwani hujui kwamba na mwakani mnawakilishwa na Yanga.... Mtasubiri sana, wa mchangani nyie
Tambwe huwa anasubiri kwa mavugo unalijua hilo...Mavugo huyo mdembwedo.... subiri ligi ianze ndio utajua namaanisha nini.
Daj ww jamaa ni muongo kwel Leopard kafungwa 4-1 sijui Hiyo 4-0 imetoka Wapi
Sijui utajinyonga ama vipi pale utapo maliza nafasi ya 3...Kwani mmesha sajiri? halafu si nimedikia mmekodisha timu!? safari hii labda mubebe ndoo ya mavi...
Miaka ya yanga kushiriki hii michuano ni mingi sana,hatuna mpango wa kuachia ubingwa ligi kuu,wale mbumbumbu watulie tulii
mchezo wenu wa kunujua mechi safari hii msithubutu...Sijui utajinyonga ama vipi pale utapo maliza nafasi ya 3...
Ila ukijitahid nafasi ya 2.
Ile ya kwanza ina wenyewe pale. [emoji23][emoji23]
Mediama poit 8, Tip poit 10, Mo poit 5, vyura poit 4.Duuuh sasa itakuwaje kuhusu hawa vyura ina maana hawawez shika japo nafas ya 3
Matope ya pale kwenye bwawa??Wamatopeni wanatuwakilisha kwenye Keki Confideration Cup na Mapinduzi Cup.
Kwani yule moooooo hawezi kununua?na mwaka huu tunanunua tena,sasa si bora mjitoe kwenye ligi mana hakuna msimu tutaacha kununua,msalimie mavugo.Yanga wana laana ya kununua ubingwa...na kupata matokeo ya dhuruma kwenye ligi....laana hiyo haitamuacha mpaka pale atakapo tubu kwa aliowadhurumu kama vile wakina Coat Union na Mwadui......bila ya hivyo ataendelea kuwa kama mwanamke malaya huko ambako hakuna kununua mechi......ambapo kila mwanaume anajipigia tu.......!!!