TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

Apumzike kwa amani.

Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.

Kwanini unatufanyia hivi kweri?

Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Raisi! Kahusikaje hapo?
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Hivi wewe uko sawa kweli kichwani? Kipi cha kufurahisha kwenye hiyo taarifa hapo ?
 
Mimi naona nyie mnaozuia taarifa zisitolewe za vifo mngeanza na matangazo ya vifo huko kwenye radio lakini kwanini mnataka taarifa zifichwe? Nyie mtakuwa wachawi aise
 
KUFA NI LAZMA.
magufuli hawezi kuzuia kifo Cha mtu.
Hata hivyo tumekuchoka na hyo Corona yako.tukilala coronaa,tukiamka coronaa
Apumzike kwa amani.

Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.

Kwanini unatufanyia hivi kweri?

Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
 

Changamoto cha upumuaji - level 4
 
Jf imekuwa ya MATANGAZO YA VIFO.
ipo siku mtu atafiwa na KUKU wake ataleta tanzia humu.tumechoka
Kwani ndugu zao wamewatuma mje mtangaze msiba wao?
Habari mchanganyiko. We ulitaka JF iwe na habari gani? Huwezi kugusa taste ya kila mmoja kwa post yako. Usiyoipenda ipuuzue tu tafuta unayoipenda
 
Raisi! Kahusikaje hapo?

Huyu anahusika moja kwa moja kwa sababu yeye kama rais hakubaliani kuwa huu ugonjwa upo nchini na kwa hiyo hataki kuchukua hatua zozote kuwahami wananchi na janga hili.

Ikumbukwe kuwa Yeye kama mtu tuliyempa dhamana kama rais anawajibika moja kwa moja katika kutuhami na majanga tusiyoweza wenyewe kuyakabili kama hili, vita na ya namna hiyo.

Ndiyo maana tunalipa kodi.

Hivi sasa Tanzania kama ilivyo kwa nchi zote duniani tunakabiliwa na gonjwa hili la corona. Inajulikana kuwa gonjwa hili linataka mabarakoa, kunawa nawa mikono na maji tiririka, social distancing na sana sana kuwahami vilivyo wazee na wale wenye magonjwa mengine.

Hapo ndipo ulipo mzizi kamili wa fitna yaani kutokuwajibika kwake katika kuwahami raia na janga hili.

Kabla ya kufikiria kumtumbua hupendi tukamkumbusha japo wajibu wake kwanza?
 
Wewe ungekuwa rais ungefanya nini kipindi hichi Cha coronaa?
 
Alishasema tuchukue tahadhari. Tutumie njia zetu za asili kujikinga na kijitinu. Hata hizo za wazungu hazijathibitika kuwa zinatibu.

Au unataka lock down mkuu? Au sasa afanyeje?
 
Sawa siku kuku wako akifariki tuletee tanzia humu.
Mtu hata ujatumwa na ndugu zake mbio unakuja kuleta taarifa za msiba humu KWELI?

Hadi sasa umeona tanzia ngapi za kuku? Kuku wangapi watakufa na kuliwa leo hapa nchini hata kwa chipsi kuku tu?

Acheni kukufuru na hata kuwadhihaki waliokufa kwa ugonjwa huu. Tukajifunze tokea kwao ili kuwahami waliopo ukiwamo wewe uendaye kwa jina la "mjinga."
 
Mleta mada kaleta taarifa kama taarifa nyingine wala hajata corona. Cha kushabgaza watu wana comment kwa hasira mara eti waache kufurahia vifo vya wengine! Hivi mtu unaweza furahia msiba wa mtu? Aisee Rip medi
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
I bet you are the best lady ever hapa JF. Ni wapuuzi hawa
 
Alishasema tuchukue tahadhari. Tutumie njia zetu za asili kujikinga na kijitinu. Hata hizo za wazungu hazijathibitika kuwa zinatibu.

Au unataka lock down mkuu? Au sasa afanyeje?

Mkuu kama raia wa kawaida kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wetu wala hata tunamhitaji kwa hayo tena?


Yeye kama Magufuli hata asipoamini kuwa corona ipo hiyo wala si taabu. Ila yeye kama rais hapo tuna taabu naye.

Cha kufanya kama rais anapaswa ku enforce social distancing kwenye mikusanyiko ya watu na pia kwahami walioko kwenye hatari zaidi. Hayo hatuna uwezo nayo:


Kodi yetu na ikatumike huko sasa maana si yake tukikumbuka pia kwa wala yeye si mlipa kodi.
 
Huu ugonjwa unashangaza sana mnaweza kuwa kumi ukamchukua mtu mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…