Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Pole kwa wafiwa.Inakera kinyama, mtu akisikia msiba tu anawahi JF kuanzisha uzi
Serikali imegoma kutoa taarifa, lazima watu waisaidie kupeana taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa wafiwa.Inakera kinyama, mtu akisikia msiba tu anawahi JF kuanzisha uzi
Kwa hiyo zamani watu walikuwa hawafi au?Tanzia zina tutisha serekari ili fanyie kazi hili
Raisi! Kahusikaje hapo?Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Hivi wewe uko sawa kweli kichwani? Kipi cha kufurahisha kwenye hiyo taarifa hapo ?Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring
Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.
Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Salaam
Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.
Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko.
Mbele yetu nyuma yake.
Bob Marley neno la Mwisho alomwachia mwanaye ni kwamba hela haiwezi kununua Uhai. Money can buy a life.
Pumzika kwa amani Kamanda.
Vifo vinagusa sana jamii yetu. Omba sana usipate msiba kwako.
View attachment 1694721
Habari mchanganyiko. We ulitaka JF iwe na habari gani? Huwezi kugusa taste ya kila mmoja kwa post yako. Usiyoipenda ipuuzue tu tafuta unayoipendaJf imekuwa ya MATANGAZO YA VIFO.
ipo siku mtu atafiwa na KUKU wake ataleta tanzia humu.tumechoka
Kwani ndugu zao wamewatuma mje mtangaze msiba wao?
Raisi! Kahusikaje hapo?
Ntaleta, kama hutaki pita hivi. Wanaopenda watasoma
Huyu anahusika moja kwa moja kwa sababu yeye kama rais hakubaliani kuwa huu ugonjwa upo nchini na kwa hiyo hataki kuchukua hatua zozote kuwahami wananchi na janga hili.
Ikumbukwe kuwa Yeye kama mtu tuliyempa dhamana kama rais anawajibika moja kwa moja katika kutuhami na majanga tusiyoweza wenyewe kuyakabili kama hili, vita na ya namna hiyo.
Ndiyo maana tunalipa kodi.
Hivi sasa Tanzania kama ilivyo kwa nchi zote duniani tunakabiliwa na gonjwa hili la corona. Inajulikana kuwa gonjwa hili linataka mabarakoa, kunawa nawa mikono na maji tiririka, social distancing na sana sana kuwahami vilivyo wazee na wale wenye magonjwa mengine.
Hapo ndipo ulipo mzizi kamili wa fitna yaani kutokuwajibika kwake katika kuwahami raia na janga hili.
Kabla ya kufikiria kumtumbua hupendi tukamkumbusha japo wajibu wake kwanza?
Alishasema tuchukue tahadhari. Tutumie njia zetu za asili kujikinga na kijitinu. Hata hizo za wazungu hazijathibitika kuwa zinatibu.Huyu anahusika moja kwa moja kwa sababu yeye kama rais hakubaliani kuwa huu ugonjwa upo nchini na kwa hiyo hataki kuchukua hatua zozote kuwahami wananchi na janga hili.
Ikumbukwe kuwa Yeye kama mtu tuliyempa dhamana kama rais anawajibika moja kwa moja katika kutuhami na majanga tusiyoweza wenyewe kuyakabili kama hili, vita na ya namna hiyo.
Ndiyo maana tunalipa kodi.
Hivi sasa Tanzania kama ilivyo kwa nchi zote duniani tunakabiliwa na gonjwa hili la corona. Inajulikana kuwa gonjwa hili linataka mabarakoa, kunawa nawa mikono na maji tiririka, social distancing na sana sana kuwahami vilivyo wazee na wale wenye magonjwa mengine.
Hapo ndipo ulipo mzizi kamili wa fitna yaani kutokuwajibika katika kuwahami raia na janga hili.
Sawa siku kuku wako akifariki tuletee tanzia humu.
Mtu hata ujatumwa na ndugu zake mbio unakuja kuleta taarifa za msiba humu KWELI?
I bet you are the best lady ever hapa JF. Ni wapuuzi hawaMnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring
Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.
Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Alishasema tuchukue tahadhari. Tutumie njia zetu za asili kujikinga na kijitinu. Hata hizo za wazungu hazijathibitika kuwa zinatibu.
Au unataka lock down mkuu? Au sasa afanyeje?