Msakuzi Ad
Member
- Feb 11, 2019
- 27
- 25
experience ya kuhojiwa ndo nini: inapatikanaje?Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo.
Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
Watu wana vyeo vikubwa ata JKT hawajapita. Eti Meja, Sajenti,Ni sajent wa Jwtz au zima moto
Hahahaaacha waendeleze bifu zao za kitoto, lakini G£N€RAL-DAD niko hapa nawachek tu.
Msaga Sumu baba laoHawa waimba singeli wote wanatakiwa wampe maua yake MSAGA SUMU. Huyu mwamba ndio kaitambulisha hii vibe mpaka watu wakaelewa