Media ya Umma (TBC) inapoizomea Yanga

Media ya Umma (TBC) inapoizomea Yanga

Msiuchukulie mpira serious sana na raha ya mpira utani najua unaumia ila Yanga wakitaka kuepuka huu utani wakajipange tena.
Siumii chochote, hii ni media ya umma, inajiingizaje kuitania timu moja? admin amezidisha ushabiki, hana tofauti na yule admin wa Wizara ya Kilimo aliyekuwa anawachapisha picha za warembo na kuwasifia kwenye page ya wizara
 
Mkuu mtoa mada naomba nikusahihishe kwamba TBC haijawahi kuwa chombo cha umma bali ni chombo cha CCM kinachotumika kwa maslahi mapana ya CCM. Na Yanga siku zote wanapenda kujifungamanisha na CCM. Kwa hiyo hao ni ndugu wawili wanaojuana, waache wazomeane. Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime, wapipatana chukua kapu ukavune.
 
Back
Top Bottom